.

Bongo Maisha?



godbuzness.com/home

 




HOME ABOUT US JIFUNZE MAISHA CONTACT






je,tutafika kwa haliii hiiiii?




MABADILIKO NDIO CHACHU YA MAENDELEO YETU TANZANIA








BONGO MAISHA?



Hali ya Maisha kwa Wananchi ya watanzania bado inazidi kua ngumu kutokana na bizaa muhimu kama vyakula kupanda bei huku serikali ikifumbia macho suala hili na kuacha wananchi wenye vipato vidogo kukosa kupata mlo kamili na kusababisha wananchi kukosa afya na kuandamwa na magonjwa ambayo husababisha vifo visivyo tarajiwa na kupoteza nguvu ya Taifa.





WAJIBU WA SERIKALI

    Kudumisha ulinzi na umoja
    Kuakikisha kila Raia anapata mahitaji muhimu kama malazi,elimu.








SERIKALI INAJALIA WATANZANIA

    Kwahali iliyopo sijui kama Serikali inajali wananchi wake.
    Update other current information






No comments:

Post a Comment